Monday, May 16, 2011

Strauss - Kahn akana tuhuma za ubakaji mhudumu wake

CHIFU wa Shirika la fedha dunian Strauss Kahn  amekataa shtuma za kumbaka mhudumu wa hoteli yake, anasema lazima afanyiwe uchunguzi wa kiafya.

No comments:

Post a Comment