Sunday, May 15, 2011

Padre Mbano arejea kutoka Hija Fatima Mbeya ilikuwa nzuri mmno

Padre Mbano kisalimia waumini wa kigango cha Matarawe baada ya kurejea kutoka Hija Mkoani Mbeya ambako waumini wa madhehebu ya Roman Catholic walifanya hija kwenye kanisa la Hija lililoko Mkoani humo.

Aidha Padre Mbano alihimiza pia kwa wazazi kuruhusu watoto waingie kwenye miito na watoto nao wameshauriwa kuingia kwenye miito.Maana Mapadre ni wachache sana katika Jimbo la Songea.

1 comment:

  1. Twamshukuru Mungu umesafiri salama...Nawatakieni uhimizaji mwema kama mapdre ni wachache hii si nzuri...Mungu awe nasi katika uhimizaji huu...

    ReplyDelete