Saturday, May 14, 2011

Michezo kurudishwa katika shule za msingi na sekondari

Michezo inajenga akili za wanafunzi,afya,umoja na maelewano katika kufanya uamuzi kwa ktumia akili,Afisa Elimu wa Mkoa wa Ruvuma Bibi Paulina mkonongo aliiambia RCC kuwa serikali imeamua kurudisha mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA.ambapo kwa ngazi ya shule za sekondari mashindano yake yataanzia katika Kanda na Kitaifa yatakayofanyikia Mkoa wa Pwani.Kibaha.

No comments:

Post a Comment