Friday, May 13, 2011

PAMOJA NA VITISHO VYA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KUTISHIA MJI WA SONGEA LEO CCM WAPONGEZANA HAO HAPO

 Mheshimiwa Diwani Charles Mhagama wa kulia wakipongezana na Kada wa CCM Bw.Kayombo kwa ushindi wa kishindo walioupaya 2010
 Wanachama wa CCM wakisikiliza hotuba za viongozi wa chama hicho jana
 Diwani Mhagama akielezea wanachama wa chama hicho wanavyo tekeleza Ilani ya CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
 Mheshiniwa Mhagama
 Wacheza  chomanga nao hawakuwa nyuma kutumbuiza kuonyesha jeuri ya chama chao
 katibu mkuu wa CCM mkoa wa Ruvuma Bwana Mteming'ombe akiwashukuru wanachama wa chama hicho na wananchi kwa kuwa na imani na chama chao hadi kuchagua wabunge katika majimbo yote kuzudi jengoni Dodoma.
 Kikundi cha Lizombe ngoma maaruru mkoani hapa ukikuta lizombe ,basi wangoni wapo
 Kikundi cha Lizombe ngoma maaruru mkoani hapa ukikuta lizombe ,basi wangoni wapo
Bwana Mteming'ombe akielekea kwenye jukwaa.

No comments:

Post a Comment