Thursday, May 12, 2011

wanachama wa CCM Manispaa ya Songea watakiwa kutekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo

Mheshimiwa Diwani Charles Mhagama akielezea kuwa ni jukumu la kila mwanachama wa Chama Chama Mapinduzi CCM kutekeleza Ilani ya Chama hicho kwa vitendo, alisema hayo kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa Majengo katika Manispaa ya Songea leo.

No comments:

Post a Comment