Saturday, May 7, 2011

BABU WA LOLIONDO HUTOA DAWA KWA KILA MTU,NA MTU ATAPONA KWA IMANI YAKE

Mchungaji Anton Lusekelo Mzee wa Upako amesema kuwa Mchungaji Mwasapila anatoa dawa bila masharti kwa mtu yule  kusali kwenye kanisa lake.Na kusema dawa yake inaponya au haiponyi ni kwa mtu yule aliyepata huduma ile kwake ndiye atakayetoa ushuhuda kuwa amepona au laa.


Ikiwa wataalamu wa tiba wamekubali kuwa ile dawa inatibu zaidi ya ugonjwa mmoja na haina madhara kwa binadamu.Sasa wale baadhi ya maaskofu wanaosema vibaya dhidi ya mchungaji huyo ikija dhihirika kuwa dawa hiyo inafaa,watapata aibu.

No comments:

Post a Comment