Friday, May 6, 2011

BLOG YA TUJIFUNZE KUSINI INATOA POLE KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA KWA KUFIWA NA MAMA MZAZI

Blog ya TUJIFUNZE KUSINI na wasomaji wa blog hii tunatoa pole kwa Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda kwa kufiwa na Mama yake mzazi,pia pole kwa Rais Jakaya kikwete kwa msiba huo ambao umetikea leo huko Dodoma.

Tunaungana na familia ya Spika wa Bunge Anne Makinda katika kuomboleza, Mungu ampe imani na uvumilivu katika majonzi  hasa wakati huu mgumu wa maombolezo.Na Mungu ailaze Roho ya marehemu Tulakea mahali pema peponi Amina ( Source Francis Godwin  mzee wa matukio) Hongera sana kwa matumizi ya mtandao.

No comments:

Post a Comment