Saturday, May 7, 2011

SERIKALI ITAWASHITAKI WALIMU WALIOCHUKUA FEDHA ZA KUJIKIMU

WALIMU wote walichukua fedha za kujikimu baada ya kufika na kuripoti kazini na kulala mbele,serikali itawashitaki kwa wizi wa fedha za serikali,Naibu Waziri wa Nchi Elimu TAMISEMI Mhe. Kasimu Majaliwa alisema hayo wakati akizungumza na walimu siku alipoanza ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma.

Alisema kumetokea wimbi la walimu wa Stashahada na  shahada wanaopelekwa

No comments:

Post a Comment