Waziri wa kilimo na chakula Prf.Jumanne Maghembe ametembelea masoko ya chakula Jijini Dar es salaam,kuangalia bei ya vyakula mbalimbali,na kusema bei za vyakula itashuka mapema baadaye katika masoko ya Jiji hilo.
Aidha Prf.Maghembe alisema kuwa kuanzia mwezi Novemba mahindi haya wezi kupelekwa nje ya nchi kwa kuwa chakula bado kinahitajika kwa matumizi ya wananchi ambao mikoa yao haikupata mvua ya kutosha.
Maneno ni rahisi lakini napokuja kwenye vitendo inakuwa ngumu, kwasababu gani mkulima kahangaika kapata gharama kubwa, sasa anataka kupata ada ya watoto, bei ya wachhuzi wetu ndio kama unavyoijua wanunue kwa kumbana mkulima, ili waje kupata faida mbeleni, kwasababu wasipofanya hivyo watapata hasara, ambayoo kiasi kikubwa inachangikiwa na makodi meengi.!
ReplyDelete