Sunday, May 8, 2011

MAZIWA NI MATAMU LAKINI CHAMOTO WANAKIPATA WAFUGAJI NG'OMBE WA MAZIWA

Wakati  nikiwa katika mitaa ya Matarawe Manispaa ya Songea Ruvuma jioni ya Jumapili hii ilinipita gari imejaza shehena ya nyasi,mmoja niliyesimama nae alisema hilo gari amelikodi kwa ajili ya kubeba nyasi za ng'ombe zake wa maziwa.Ama kweli kama huna uvumilivu ng'ombe wa maziwa watakuwa adhabu kwa mfugaji.Lakini ndiyo miradi hiyo hakuna jinsi.

No comments:

Post a Comment