Friday, May 6, 2011

SERIKALI ITOE MOTISHA KWA WALIMU WA PEMBEZONI MWA NCHI - ISHENGOMA

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe.Dkt Christine Ishengoma,amemshukuru naibu waziri wa Nchi Elimu TAMISEMI Mhe.Kassim Majaliwa kwa ushirikiano na uvumilivu katika siku zote za ziara yake mkoani humo.Aidha amemwomba Mhe. waziri walimu wa pembezoni wafikiriwe kupewa vyombo vya usafiri,umeme wa sola nao wanufaike kama wenzao waliopangwa mijini kwani wote walisoama chuo kimoja.
 Mwenye kiti wa Halmashauri ya Songea Mh.mtiula
 Mwenyekiti wa halmashauri ya Tunduru
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mbinga

No comments:

Post a Comment