Thursday, May 12, 2011

WAKATI LEO CCM WAKIWA NA MKUTANO WAO ,CHADEMA,ZITO,MBOWE,SLAA NA MDEE WA WANGURUMA VIWANJA VYA KIBULANG'OMA KESHO SONGEA

 Kwaya ya Mletele wakiimba katika mkutano wa CCM leo katika viwanja vya Majengo Manispaa ya Songea
Ngoma ya Chomanga ya Mshangano ikiburudisha wananchi katika viwanja vya majengo leo.

No comments:

Post a Comment