Wednesday, May 11, 2011

BARABARA ZA MWAMBAO MWA ZIWA NYASA ZITOBOLEWE ZIUNGANISHWE NA NYINGINE ILI NA MAGARI YAWEZE KUFIKA KWENYE VIJIJI WALIKO WAPIGA KURA

Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mhe.Injinia Stela Manyanya amewambia TANROADS wafanye mkakati wa kutoboa barabara zilizoko mwambao mwa ziwa nyasa ili ziungane na barabara nyingine zinazopitika kwa kuzifanyia ukarabati.ili sehamu za vijiji waliko wananchi zifikike kiurahisi

No comments:

Post a Comment