Wednesday, May 4, 2011

KESHO MHESHIMIWA MAJALIWA ATAFANYA ZIARA WILAYANI MBINGA

Afisa elimu wa mkoa wa Ruvuma Bibi Paulina Mkonongo alisoma taarifa ya maendeleo ya Mkoa huo kwa Naibu Waziri wa Elimu TAMISEMI Mhe. Kasimu Majaliwa  hayupo katika picha siku ya kwanza katika ziara yake.

Kesho Mhe. Majaliwa ataendelea na ziara yake Wilayani Mbinga ambapo taarifa ya maendeleo ya elimu ya wilaya hiyo itasomwa katika shule ya msingi Kitai na kuendelea na ziara hiyo ambapo atapangiwa.



No comments:

Post a Comment