Monday, May 16, 2011

MAMBO YALIKUWA HIVI JUZI SONGEA JINSI CHADEMA ILIVYO KUSANYA WATU

 Maandamano ya amani ya wananchama wa CHADEMA waliyoyafanya kuelekea Kblang'oma Lizaboni Manispaa ya Songea
waandishi  wa habari hawakuwa nyuma katika kufuatilia matukio ya maandamano hayo ya amani ya CHADEMA mjini Songea juzi
 Huo ni umati wawatu uliofurika kusikiliza Sera za CHADEMA siku hiyo Mjini Songea.
 Ule mlori mkubwa ndiyo wa CHADEMA unaotumika kama jukwaa popote wanapo kwenda
 Wote hao kama walikuwa wamejiandikisha kwa ajili yakukipigia CHADEMA ushindi ulikuwa wazi lakini ni ushabiki tu.
Pikipiki zote zilihama kwenye vituo vyao kuelekea kwenye maandamano ambayo yalizuia hata magari kupita ilikuwa ni moto wa kuotea mbali CHADEMA  Songea.

No comments:

Post a Comment