Thursday, May 5, 2011

BREAKING NEWS ! ! ! MREMBO KIZIMBAINI KWA KOSA LA KUTUKANA

 Mrembo wa Tanzania wa mwaka 2006  Wema Sepetu amepandishwa kizimbani kwa kosa la kutukana hadharani ,imedaiwa kuwa alimtukana Rahim Ruminaji a.k.a Rais wa Masharobalo.

No comments:

Post a Comment