Thursday, May 5, 2011

BINGWA WA MTANDAO WA Al -Qaeda OSAMA BIN LADEN KAFA KWELI?

Nilivyotembelea Google nilipata picha hizo hapo,Lakini nimeanza kupata mashaka juu ya kuuawa kwa Osama Bin Laden ( The Al - Qaeda Terrorist ) je ni yupi hapo ndiye Osama Halisi kati ya sura hizo hapo zilizolowa damu?. Je Isiwe mchezo wa magaidi wa kuwachezea shere serikali ya wa Marekani?.watu hawa ni hatari sana Lakini pamoja na hilo ,kama kweli amekufa tukumbuke kuwa bado wanafunzi wake wataendeleza mtandao wao wa kigaidi kwa kasi zaidi.Jambo hilo si la kulibeza.

No comments:

Post a Comment