Friday, May 6, 2011

SEKTA YA ELIMU INAKABILIWA NA CHANGAMOTO LUKUKI TAZAMA KATUNI HIZO ! ! !

 Bado serikali na wananchi wanakazi kubwa kweli ili kuinusuru Sekta ya Elimu Nchini,mara nyingi wachora katuini,tamthilia wanapoonyesha jamii kwa kutumia sanaa,si kama wanafanya mambo ambayo hayapo katika jamii zetu.Ukweli upo nyumba kama hizo wapo walimu wetu wanaishi humo sio maigizo tu ni kitu ambacho kipo.Sasa Serikali,Halmashauri na wananchi kuliona hilo.Naibu Waziri wa nchi Elimu TAMISEMI Mhe. Kasimu Majaliwa kashuhudia kwa macho yake kukuta choo cha wanafunzi cha nyasi na bafu katika ziara yake hapo Ruvuma.hata kilabu cha kienyeji halina choo kama hicho,Serikali ya kijiji ipo,Halmashauri ipo
Bado tatizo ni la Serikali zetu za vijiji,Serikali haiwezi kulaumiwa na hali kama hizo tuonazo hapo katika katuni hiyo.Kwakuwa shule zote ni mali ya wananchi wenyewe,na wao wakubali kuwa shule hizo ni mali yao, serikali itasaidia pale wananchi walipo onyesha uwezo wao kukwama.Lawama nyingine hazina maana sana kila kitu serikali.Watanzania tubadilike.

No comments:

Post a Comment