Saturday, May 14, 2011

SEKONDARI YA PAMOJA YA KIDATO CHA TANO INACHANGAMOTO NYINGI

SHULE ya sekondari ya Mkoa wa Ruvuma Pamoja sekondari ya kidato cha tano na sita iliyojengwa kwa ushirikiano wa wilaya za mkoa wa Ruvuma katika wilaya ya Namtumbo imeanza kupokea wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu wavulana  ingawa ni ya mchanganyiko.

Badao kuna changamoto nyingi zinazoikabili sekondari hiyo ya mkoa ikwa ni pamoja na miundombinu ya kutosha.Afisaelimu wa mkoa wa Ruvuma Bibi Paulina Mkonongo aliiambia Blog hii kuwa shule hiyo haina jengo la utawala,baabara ya sanyansi,bwalo la chakula lililopo ni la muda tu,nyumba za walimu zilizopo ni mbili tu,na haina chumba cha Jiografia.

No comments:

Post a Comment