Saturday, May 14, 2011

MAMBO YA KILA SIKU KATIKA MAISHA HASA KATIKA MITANDAO

 Bibi Verovika akiwa Dodoma akimsubili Sarah kutoka shule
 Bibi Vero akiwa na mtandao wa simu katika mambo ya SMS akiwa Morogoro
 Huyo ni Veronika ambaye yupo na bibi yake picha ya chini Morogoro
 Watoto wa siku hizi wanakuwa watafiti wangali wadogo,kama hapo Vero alivyo kuwa akimwangali bibi yake kama vile ana akili ya kujua amepakatwa akiachiwa anaweza kuanguka.
Huyo naye ni Baba Veronika ni mtoto wa tatu wa Bibi Veronika alifika Dodoma kumwona mama yake akitokea chuoni Mpwapwa mkoa wa Dodoma anachuskua stashahada  ya ualimu

1 comment:

  1. Ahsante kwa kutujumuisha nasi katika taswira hizi nzuri...Kapelai salamu kasikana kaku..Vero.

    ReplyDelete