Friday, May 6, 2011

SERIKALI YAHIMIZA CHAKULA KITOLEWE KATIKA SHULE NCHINI

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr.Shukuru Kawambwa alisema hayo jana na vyombo vya habari Jijini Dar es salaam kuwa Serikali inasisitiza kuwa shule ziwe zinatoa chakula kwa wanafunzi ili,usikivu uwepo kwa wanafunzi,pia kupandisha hali ya taaluma.

Wakati Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akizungumzia namna ya kupata chakula katika shule za msingi na sekondari nchini.( Source Hakilelimu ) wao wamekuja na Cartoon inayonyesha wanafunzi wanavyo shindwa kumsikiliza mwalimu darasani kwa sababu ya njaa.

No comments:

Post a Comment