Saturday, May 14, 2011

SERIKALI IKIZAMIA KWENYE MRADI MMOJA WA MAENDELEO KWANZA INAWEZEKANA HEBU TUONE KWENYE MIUNDOMBINU

 Tunaposema Serikali haifanyi kitu nadhani kuna watu wanaotazama vitu bila ya kuangalia miaka ya nyuma kwenye miundombinu ya barabara ilikuwaje ukilinga nisha na sasa.hapa ni Ruwaha mpakani mwa Iringa na Morogoro.
 Hapa ni kitonga linganisha na kitonga ya awali Mkoani Iringa
 Hapa unaingia Mjini iringa hivyo serikali ifanye nini ili wenye macho tuambiwe tuone,ili tunayaona mbaya tu kila mara
Unajua ukiingia mjini Iringa unapandisha mlima kwa mtu aliyekwenya Iringa miaka ya nyuma akiiyona barabara hii hawezi kuamini,Tufike mahali tukubaliane kuwa hakuna kitu kbaya moja kwa moja bali pia kuna kizuri pia.

Tatizo la nchi yetu inamirdi mingi ya maendeleo na yote serikali inaitengea mizadi yote kwa wakati mmoja,matokeo yake fedha hazitoshi zinaishia mikononi mwa wajanja mira haikamiliki kila mwaka inapangiwa fedha na haikamiliki.

Kuna mtu mmoja ambaye hana sauti ya kusikika na serikali yetu aliimbia blog hii kuwa ,kama serikali ingetengea fedha miradi miwili tu,mfano elimu na afya fedha zote zielekezwe huko,isimamiwe vizuri ukweli nchi hii baada ya miaka kumi tungepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.Lakini kwa mtindo huu wimbo wa mafisadi utakosa mchezaji baadaye.


No comments:

Post a Comment