KARIBU TANZANIA KUJIONEA MAAJABU YA DUNIA KATIKA MBUGA ZETU, VIVUTIO MBALILMBALI KATIKA MAKUMBUSHO YETU.KARIBU KUSINI MWA TANZANIA
Thursday, May 12, 2011
KILA KITU KISICHO NA TIJA KWA WANANCHI WANADAI NI KWA SABABU YA CCM YAKWELI HAYO !?
Bwana Hamisi Abdala Ally wa Manispaa ya Songea anasema kuwa wananchi wanakilaumu chama Tawala kuwa kila kitu kinacho panda bei ni kwa sababu CCM,Je kupanda kwa bei ya mafuta umesababishwa na CCM ?
No comments:
Post a Comment