Saturday, May 7, 2011

Mjaliwa awafagilia waandishi wa habari nchini kwa mchango wao katika jamii

 Naibu Waziri wa Elimu TAMISEMI Mhe.Kassim Majaliwa akiongea na wakuu wa Idara na watumishi wa Mkoa na wilaya katika ukumbi wa Songea Club jana,alisema waandishi wa habari ni watu muhimu katika kuhabarisha jamii bila ya chombo hicho ziara yake isingeweza kujulikana,kwa hiyo TV,Radio,Magazeti na mitandao waitumie ili shughuli zao zitambulike na wengine.


Katika ziara yake naibu Waziri wa elimu TAMISEMI aliongozana na waandishi wa vyombo mbalimbali ikiwemo mitandao TUJIFUNZE KUSINI,Unawaona hapo wakiwa wakichukua matukio wakati waziri akiangalia vitanda shule ya sekondari Msamala Songea Manispaa.

No comments:

Post a Comment