Friday, May 6, 2011

SENSA YA DARASA LA KWANZA KUFANYWA NA WATENDAJI WA VIJIJI

 Mheshimiwa Kassim majaliwa akiongea na wakuu wa wilaya,wakurugenzi,madiwani na wakuu wa  Idara katika ukumbi wa Songea Club leo kwenyw majuisho ya ziara yake mkoani Ruvuma.
 Wakuu wa Wilaya ya Namtumbo Bw.Maketa wa kwanza na Songea Bw.Thomas Ole Sabaya wa pili kwenye meza kuu
 Wa kwanza ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Mhe.Ally Manya,wapili Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tunduru


Bwana Mlelwa wa kwanza ni mkaguzi mkuu wa Idara ya elimu kanda ya nyanda za juu kusini,wa pili ni Afisaelimu Mkuu kutoka TAMISEMI.

No comments:

Post a Comment