Thursday, May 12, 2011

MTEMING'OMBE ASHUKURU WANACCM NA WNACHI KWA KUWARUDISHA WABUNGE WOTE WA CCM

 Katibu Mkuu wa Chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Ruvuma Bw.Emanuel Mteming'ombe amewashukuru wanachama na wananchi kwa kuwa chagua wabunge katika majimbo yote wa CCM,katika mkutano wa hadhara uliyo fanyika katika viwanja vya shule ya msingi Majengo leo
 katibu Mkuu wa CCM na makada wengine wakiwa meza kuu wakitazama ngoma zinazochezwa.


Pia wa kwanza kabisa ni Bibi Kulthumu Mhagama mwenyekiti wa  Umoja wa Wanawake Tanzania  ( UWT ) mkoa wa Ruvuma.

No comments:

Post a Comment