Friday, May 6, 2011

WAKAGUZI WA SHULE 800 WATAHITAJIKA MWAKA HUU ILI KUIMARISHA UKAGUZI WA SHULE

Naibu waziri  wa nchi eilimu TAMISEMI  Mhe.Kassim Majaliwa mwenye miwani akikagua Hostel ya wasichana Lupunga Sekondari  Songea Vjijini

Mheshimiwa   Mjaliwa alisema serikali imenuia kuimarisha idara ya ukaguzi wa Shule kwani ni Idara muhimu sana katika uinuaji wa taaluma katika shule nchini,hivyo wakaguzi wapatao 800 watahitajika mwaka huu ili kila mwalimu akaguliwe walau mara mbili kwa mwaka.

No comments:

Post a Comment