Sunday, May 15, 2011

KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MUKAMA ASEMA WAFANYA BIASHARA WANAOJIHUSISHA NA CHAMA WAKAE KANDO


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mukama amefanya ziara yake Mkoani Mara leo ambapo amehimiza wanachama wa chama hicho kuwa na mshikamano kati yao,kuhusu wafanya biashara wanaojihusisha na masuala ya siasa watawekwa kando.
Na kuhusu marumbano na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA anasema huo ndiyo utaratibu wa vyama katika kujiimarisha.

Katibu Mkuu akisalimiana na wanachama na wananchi waliyofika kumlaki mara baada ya kuwasili Mkoani Mara leo.

No comments:

Post a Comment