Sunday, May 15, 2011

Rais Jakaya Kikwete afunga leo semina elekezi ,awataka watendaji kwende kwa wananchi

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete leo amefunga semina elekezi ya siku 7 kwa  watendaji wake Mjini Dodoma,na kwataka kila mmoja wao kwenda kwa wananchi,wananch wanahitaji huduma kutoka kwao.
Pia amewataka viongozi wa Umma kutumia vyombo vya habari katika maelekezo wanayo yatoa kwa wananchi kwa manufaa ya  maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Baadhi ya wajumbe waliyo hudhuria kikao hicho Mjini Dodoma kwa siku 7

No comments:

Post a Comment