Monday, May 16, 2011

SONGEA KUENDESHA MDAHALO WA MFUMO WA UGAWAJI WA VOCHA ZA PEMBEJEO ZA KILIMO

 Mwenyekiti wa Sonngo Bibi Siwajibu Gama aliye simama na kaimu RAS Dkt Anselm Tarimo aliyekaa wakati wa kufungua Mdahalo huo wa Mfumo wa ugawaji wa VOCHA za pembejeo za kilimo katika ukumbi wa VETA Mjini Songea leo.
 Mmoja katika Meza kuu akijibia wazo kutoka kwa mjumbe aliyetaka kujua kama Ruzuku za pembejeo zinazotolewa kwa wakulima kama mgao wa mbolea  unatosheleza kwa wakulima.
 Baadhi ya Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea walihudhuria mdahalo huo.
 Wajumbe wa mdahalo huo kakiteta jambo wakati mdahalo ukiendelea.
Picha hii hapo chini ni Mwenyekiti Bibi Siwajibu Gama mwenye koti jeusi na Kaimu RAS Dkt Anselm Tarimo na wa mbele yao ni Bwana Charle wakielekea ukumbi wa Mdahalo hapo VETA leo.

No comments:

Post a Comment