Tuesday, May 3, 2011

NAIBU WAZIRI WA NCHIELIMU OWN TAMISEMI LEO ANGEA NA WALIMU TUNDURU

Naibu Waziri wan nchi elimu OWN  TAMISEMI Mhe.Kasimu Majaliwa  leo ametembele shule mbili za sekondari za Tunduru na kisha kazungumza na Wakuu wa shule,Walimu wakuu,Waratibu elimu kata na watendaji wengine wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma.

Akiwa Wilayani Tunduru Naibu Waziri leo ni siku yake ya pili ya ziara yake mkoani Ruvuma ambapo kesho ataanza ziara yake katika Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo ambako atakagua shughuli za maendeleo katika sekta ya elimu na kuzungumza na wadau wa elimu.

No comments:

Post a Comment