Tuesday, May 3, 2011

MALALAMIKO YA WALIMU KUHUSU MISHAHARA YAMEPATA UFUMBUZI

 Baadhi ya maafisaelimu wa Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea kwenye ukumbi Songea Club wakimsikiliza Naibu Waziri wa Elimu TAMISEMI Mhe.Kasimu Majaliwa hayupo katika picha.
 Baadhi ya walimu wakuu,wakuu wa shule,waratibu elimu kata na walimu wakiwa ukumbini Songea Club hapo jana wakati Naibu waziri wa Elimu TAMISEMI Mhe.Kasimu Majaliwa akizungumza nao.


Mwalimu Salumu Hapendeki ni mlemavu wa macho ni mwalimu wa shule ya msingi wasioona Ruhila,anasema amehamishwa kutoka Dar es salaamu hadi Songea bila kulipwa fedha zake za uhamisho.

No comments:

Post a Comment