Monday, May 2, 2011

Naibu Waziri wa Elimu TAMISEMI akagua bweni la wanafunzi Msamala sekondari Songea Manispaa

 Naibu Waziri wa Elimu TAMISEMI  Mhe.Kasimu Majaliwa wa  katika mwenye miwani akishauri jinsi ya kutengeneza vitanda vizuri zaidi katika shule ya sekondari Msamala katika Manispaa ya Songea



No comments:

Post a Comment