Nimbele ya kanisa Kuu la Jimbo Kuu la Songea waumini walikuwa wanatoka katika Ibada ya kwanza na kupisha Ibada ya Pili ambayo itakuwa ya Kutoa Komunio ya kwanza kwa watoto wa shule zinazo zunguka mji wa Songea ambazo ni Mfaranyaki,majimaji, Majengo na Mashujaa.
Mwenga! nikumbwiki kweli kunyumba...Halafu kunyambili kweli...Usengwili--
ReplyDelete