Tuesday, May 3, 2011

CHANGAMOTO KATIKA SEKTA YA ELIMU MKOANI RUVUMA ZINAFANANA

 Naibu waziri akitia saini katika kitabu cha wageni shule ya sekondari msamala
 wanafunzi wa shule ya sekondari msamala Songea Manispaa
 Naibu waziri wa nchi Elimu TAMISEMI Mheshimiwa Kasimu Majaliwa akizungumza na wanafunzi katika shule ya sekondari msamala.

Aidha chanbamoto kadhaa alizokutana nazo Mhe.waziri na anazosomewa katika ziara yake mkoani hapo kalibu zote zinafanan.ambazo ni uhaba wa walimu shule za msingi  na sekondari,nyumba za walimu,vyumba vya madarasa,Vifaa vya kufundishia na kujifunzia.































































































































































No comments:

Post a Comment