Friday, May 13, 2011

MILIONI 23O KUJENGA NA KUKARABATI HOSPITAL YA MKOA SONGEA


Bibi Nguruse katika taarifa aliyo isoma ilisema Sub Vote ya Hospitali ya mkoa Songea ilitengewa shilingi milioni 230,kati ya hizo shilingi odi ya wanawake,shilini milioni 50 kukarabati wodi ya daraja la I na shilingi milioni 80 kwa ajili ya kununua vifaa vya wazazi katika jengo jipya la upasuaji na wodi daraja la kwanza.

No comments:

Post a Comment