Wednesday, May 11, 2011

KARIBU MKOANI RUVUMA KARIBU NA JENGO LA MKUU WA MKOA

Hapa ni maeneo ya karibu  na walipo nyongwa wazee wa kingoni waliokataa utawala wa Kijerumani ambapo sasa pamejengwa mnara wa kumbukumbu ya wazee mashujaa waliyo poteza uhai wao kwa kupigania haki ya jamii ya wangoni,nyuma ya ofisi za mkuu wa mkoa na ukumbi wa Songea Club.

No comments:

Post a Comment