Friday, May 13, 2011

NFRA Ruvuma yaongeza maghala matatu (3) ya kuhifadhi mazao ya chakula

Meneja wa Wakala wa Hifadhi ya Chakula cha taifa ( NFRA ) Mkoa wa Ruvuma Bwana MorganMwaipyana ametaja maghala hayo kuwa ni pamoja na Ghala la LITISHA limekaguliwa ,la LUSONGA  limekaguliwa ila lina hitaji marekebisho kidogo na la MPITIMBI hilo limekaguliwa limetimiza vigezo.

Bw.Mwaipyana alisema mizani 43 zitaletwa katika musimu huu wa ununuzi wa mahindi,ila suala la magunia alisema yeye hawezi kulisemea,labda kwenye Wizara yake wanaweza kuwa na majibu kwa kuwa wao wana vifahamu viwanda vinavyo tengeneza magunia hayo.

No comments:

Post a Comment