Sunday, May 8, 2011

MCHELE MMOJA MAPISHI MBALIMBALI NIMEFIKA KWENYE DUKA LA VIUNGO VYA PILAU

Nimefika katika duka la viungo vya pilau na vya mboga katika soko la Matarawe  nikaambiwa viungo vya pilau vipo vilivyo sangwa na visivyo sagwa,muuzaji alisema kuna amdalasini,tangawizi,hiliki,na masalo vitunguu saumu.

Lakini cha ajabu likuta vitu vimetengenezwa  vingine vyeupe na  kahawia wakasema ni udongo huliwa na wanawake waja wazito.kwa nini wana mama hao wanakula huo udongo? hakunipa jibu.

No comments:

Post a Comment