Monday, May 9, 2011

LEO NI MJINI SONGEA ,SOKONI NA MITAA YAKE ! ! ! TUWE PAMOJA.

Huu ni mtaa maarufu ukitokea standi kuu ya mabasi yaendayo mikoani au Dar es salaam ukipandisha mkono wako wa kulia  kuna kanisa kuu la Jimbo la Songea maarufu Kanisa la Mtakatifu Mathias  Mlumba Kalemba,Lakini ukigeuka barabara hiyo unaenda Peramiho au Wilaya ya Mbinga na Wilaya ya Nyasa.

1 comment:

  1. Nimeipenda picha hii. Mimi nilijaribu kupia picha hapa Songea mwaka juzi, lakini sikufanikiwa namna hii. Mwaka huu nategemea kuja tena , na nitajitahidi. Ni muhimu sana kwetu wanablogu kutangaza sehemu mbali mbali za nchi yetu namna hii.

    ReplyDelete