Mara nyingi serikali wataalamu wa hali ya hewa wamekuwa wakiwatahadharisha wananchi kutunza mazingira nayo yawatunze. Lakini imekuwa kinyume katika misitu ya milima ya Matogoro Songea Mkoa wa Ruvuma kama unavyoiona kwa mbali utadhani ni mlima meru kumbe ni milima ya Matogoro imekuwa miamba tupu.
Kwa hiyo watu wakumbuke kuwa wakikata miti hovyo au kachoma misitu wanafukunza mvua au kuua viumbe hai vidogovidogo vinavyo ishi katika ardhi.
Kwa hiyo watu wakumbuke kuwa wakikata miti hovyo au kachoma misitu wanafukunza mvua au kuua viumbe hai vidogovidogo vinavyo ishi katika ardhi.
No comments:
Post a Comment