Wednesday, May 11, 2011

Captan Komba Mbunge ataka madaraja 16 yang'olewe yajengwe ya kudumu

Mbunge wa Mbinga Mhe.Cpt.John Komba amewaambia TANROAD kuyang'oa madaraja 16 amabayo ni mabovu na kuyajenga madaraja ya kudumu kuliko yalivyo hivi sasa madaraja hayo hayapitiki katika Jmbo lake.
 
Madaraja hayo yapo kati ya Mbamba Bay na Litui ambayo ni madaraja ya muda tu ambayo yakijengwa chini ya uangalizi na usimamizi wa wataalamu yatakuwa imara na yatarahisisha usafiri kati ya Mbamba Bay na Litui.Mhe.Komba alisema hayo kwenye kikao cha Barabara za mkoa TANROAD kilichofanyika katika ukumbi wa Songea Club leo.

No comments:

Post a Comment