Saturday, October 1, 2011

SAFIRI KWA RAHA NA SUMRY HIGH CLASS LUXURY BUS SONGEA - DAR ES SALAAM

 Ukisafiri na Sumry High class luxury kutoka Songea kwenda Dar es salaam,utasafiri kwa raha bila kuchoka.
Mwanzo sikuwa siamini kuwa Sumry high class kuwa ina stareha na huchoki ukiwa katika mabasi hayo.

1 comment:

  1. Wakala wa kampuni ya mabasi ya Sumry Arusha wamezidi ubabaishaji!Sijui kama tajiri su mmiliki anajua utumbo unaofanywa na hao wafanyakazi wake! Mtu unalipia mizigo muhimu inayohitajika kwenda nayo siku ya safari, Inafika asubuhi.KondaktA anasema kuwa buti ni ndogo, lakini kiukwel nafasi ipo wazi. Anakuwa anataka umpe RUSHWA, ndo akupakilie mizigo yako!!!Mimi naona ipo haja ya kushughulika na hawa watumishi wasio waaminifu.

    ReplyDelete