Friday, October 7, 2011

BREAKING NEWS ! ! ! WATU MAARUFU DUNIANI WAENDELEA KUPELEKA RAMBIRAMBI ZAO KWA MWANA - SAYANSI STEVE JOBS ALIYEFARIKI KARIBUNI

 Steveis Jobs akimwonyesha Simu Rais wa Russia
 Rais Obama alimkaribisha Steve Jobs na Wenzake chakula cha jioni White House
 Steve Jobs akionyesha I phone ikiwa ni kazi yake aliyoanza nayo.
Apple log aliibuni mwaka 1975 na kuikamilisha mwaka 1977.

Watu maarufu Duniani wametoa rambirambi zao kwa mwana sayansi wa Simu na Kopyuta wa Kimarekani Steven Paul “ Steve Jobs” kutokana na kazi yake ilivyo enea duniani.

Steven Paul alianzisha simu za I phone line ndipo likapatikana jina la Steve Jobs,mwaka 1975 alipokuwa wenye bustani ya matunda alivutiwa na ‘Apples’ akabuni nembo ya Apple kwenye kopyuta  na kumtafuta designer  Rob Janoff mwaka 1977 akamchorea nembo ya Apple akaweka  rangi za upinde wa mvua Rain Ball.

Steve Jobs ameferiki lakini ataumbukwa na watumiaji wa kopyute,makampuni ya simu duniani nay a kopyuta kwa kazi yake aliyoianzisha na uiacha kwa watumiaji.

No comments:

Post a Comment