Thursday, October 20, 2011

WAGENI WENGI WANATEMBELEA MITAMBO YA UCHAPAJI TUJIFUNZE KUSINI KUJIFUNZA

 Wgeni kutoka chuo cha ualimu Songea Mhasibu na Boharia walitembezwa kiwandani  hapo jana.
 wanaonyeshwa mashine ya kushona ( stitching machine )
 wakionyeshwa mtambo mdogo wa uchapaji GTO
 Wakionyeshwa mtambo mkubwa wa uchapishaji SORK
 Wakionyeshwa meza ya kuandalia kazi ( Light Ta ball )
 waimsikiliza fundi wa mashine kubwa ya uchapishaji akielezea akiwa juu.
 wanaangalia mashine hizo  kwa maini
wakiwa nje ya ofisi ya TUJIFUNZE KUSINI wakiaga.

1 comment:

  1. Safi sana nimefurahi sana kuona watu/wageni wengi wanatembela hapo..Na nimejikuta nami kama nipo nao kwa vile nshawahi kufika...Usengwili

    ReplyDelete