Friday, October 7, 2011

BREAKING NEWS !! ! DKT EMANUEL NCHIMBI AZINDUA RASMI MIAKA 50 YA UHURU BUTIAMA

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dokta Emanuel Nchimbi leo amazindua rasmi miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara katika kijiji cha Butiama Mkoani Mara.
Dkt Nhimbi alisema katika miaka 50 ya Uhuru Tanzania Bara sekta ya Habari imepanuka,kumekuwa na vyombo vingi vya Habari,vituo vya Radio,Television na Magazeti ukilinganisha baadhi ya nchi za kiafrika.
Sambamba na hayo Dkt Nchimbi hajaridhishwa na maadili kwenye vyombo vya Habari na wanahabari wenyewe.

No comments:

Post a Comment