Monday, October 10, 2011

IWANDA NI UMEME NA UMEME NI IWANDA JUJIFUNZE KUSINI IMELITAMBUA USEMI HUO BAADA YA JENERETA KITUO UCHAKAA

 Manispaa ya Songea bado inachangamoto lukuki yaiwemo ya nishati ya umeme hivyo wenye viwanda inawawia vigumu kukamilisha kazi muda uliyopangwa.kutokana na hilo TUJIFUNZE KUSINI walinunu Jenereta la kufua umeme waka 2006 hadi mwaka huu limechaaa.
Leo ilinipasa kwenda kwa msambazaji wa jenereta hizo hapa katika Manispaa hii Bwana Mwikoki kuona jenereta lingine nililomwagiza kutoa Dar es salaam ambalo ni kubwa kuliko lile la mwanzo.Bila ufanya hivyo kiwanda kitakufa.

1 comment:

  1. Nakutakia kila la kheri na changamoto hii. Maana hii ni changamoto haswa!!

    ReplyDelete