Saturday, October 8, 2011

WAJENZI WABARABARA YA MBINGA KWA KIWANGO CHA LAMI WANAONGEZA MITAMBO ZAIDI

Mitambo zaidi inapelekwa eneo la kazi kwenye ujenzi wa barabara ya kutoka Peramiho kwenda Mbinga kwa kiwango cha lami,Blog hii imeona moja ya mtambo wa kutengeneza barabara ukipelekwa eneo la kazi .

No comments:

Post a Comment