Wednesday, October 5, 2011

LORI LILILOZIBA NJIA KATIKA MLIMA WA KITONGA MKOANI IRINGA JANA LILISABABISHA FOLENI YA MABASI NA MALORI YA UTOKA MBEYA KWENDA DAR

 Hali njisi ilivyokuwa jana lori lililpokuwa na Konteina lilianguka na uziba barabara na kufanya mabasi na malori yaendayo Dar es salaam na kutoka Irnga na Mbeya kushindwa kupita hadi wichi ilivyomaliza kazi yake.


 Mabasi na malori wenye foleni yakitokea Dar es salaam yakisubiri lori lililoziba barabara limeondolewa.


 Mabasi yanayokwenda Iringa,Mbeya,Tunduma,Kyela na Songea yaisubiri Lori hilo liondolewe ili magari yaruhusiwe kupita.

Picha ya chini ni winchi ikionekana kwa mbali likinyanyua container,lililoziba barabara.,Ajali hiyo ilitokea karibu kumaliza kuupandisha mlima Kitonga kutokea Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment