Maoni na mafaniio mbali mbali yanayo jitokeza ndani ya miaka 50 ya UHURU yanazidi kutolewa,nawe unaweza kutoa kupitia Blog hii ama E - mail.christiansikapundwa@yahoo.com.nasi tutachapisha kwenye Toleo Maalimu la mwezi Oktoba - Desemba ,karibu sana Motto wetu ( ELIMU HAINA MWISHO )
Ofisini kwa Mhariri Msaidizi wa TUJIFUNZE Bw.Juma Nyumayo anapiga picha ambapo nakala za magazeti hayo zinapatikana.
Huo ni mtambo wa kuchapishia Magazeti ya TUJIFUNZE KUSINI ambapo sasa linaandaliwa Toleo maalumu la miaka 50 ya UHURU..Fundi Bw.W.Kaimbe anawaelekeza wageni unavyo fanya kazi.
Hizo mezani ni nakala za matoleo ya magazeti ya Kanda 8 za elimu hapo awali zilizojumuisha na Zanzibar ambapo Mhariri wake alikuwa Bwana Salim Salim mwandishi mwandamizi maarufu sana Zanzibar sasa.

Bahati mbaya nilipokuwa hapa Songea mwezi Agosti nilisahau kuulizia nakala ya hii gazeti, ambalo nalisikia sana hapa kwenye blogu hii.
ReplyDelete